top of page

Hosana Mwana wa Daudi


Hosana hosanna, Mwana wa Daudi x2

1. Ndiye mbarikiwa yeye ajaye, kwa jina la Bwana, Mfalme wa Israeli.

2.Tazameni Mfalme anayekuja, kwa jina la Bwana mpole na mnyenyekevu.

4. Mwana wa Daudi ashangiliwe, na ahimidiwe milele na milele.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page