Siku Sita
- Renatus Rwelamira
- Nov 12, 2023
- 1 min read
Updated: Apr 3, 2024
Siku sita (sita) kabla ya Pasaka, watoto wa Kiyahudi walimlaki Bwana x2 Wakishika matawi ya mitende mikononi wakiimba wakisema (Hosanna hosanna, hosanna Mwana wa Daudi Hosanna Hosanna Mwana wa Daudi x2
Wakimwimbia mfalme mkuu nyimbo za furaha na shangwe Hosanna yeye ajaye kwa jina la Bwana.
Wakitandaza nguo zao kumpa heshima Mwana wa Daudi Hosanna yeye ajaye kwa jina la Bwana

Comments