Inueni Vichwa Vyenu
- F.A Nyundo
- Oct 22, 2023
- 1 min read
Inueni vichwa vyenu enyi malango Inukeni enyi malango ya milele Mfalme wa utukufu apate kuingia
Ni nani huyu mfalme wa utukufu Bwana mwenye nguvu hodari Bwana hodari wa vita Ni nani huyu mfalme wa utukufu Bwana wa majeshi yeye ndiye Mfalme wa Utukufu

Comments