Mfalme wa Israeli
- Anonymous
- Nov 12, 2023
- 1 min read
Ilipofika siku kuu Yerusalemu yesu alipanda punda Wana Israeli wakaja wakapiga kelele wakisema
Hosanna - hosanna hosanna x2 Mbarikiwa ajaye kwa jina la Bwana x2
Nao walitwaa matawi ya mitende x2 Wakatoka kumlaki wakipiga makelele x2
Usiogope Binti Sayuni, kwani mfalmeo anakuja

Comments