top of page

Hosana mwana wa Daudi

Updated: Apr 3, 2024


Hosana Hosana mwana wa Daudi Hosana hosana hosana juu mbinguni x2

  1. Ndiwe mbarikiwa yeye ajaye kwa jina lake Bwana Mfalme wa Israeli

  2. Tazama huyo mfalme anayekuja mpole anapanda punda na mtoto wake

  3. Na watu wengi sana wakatandaza njiani pote nguo na matawi ya miti

  4. Waliotangulia na walofuata pamoja kwa sauti zao na wakasema

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page