top of page

Kikondoo cha Mungu

Updated: Feb 24, 2024




Kikondoo cha Mungu mkate wa mbinguni, mlishi wa roho yangu nakuabudu

  1. Ubabangu mwema na msimamizi, mpaji wa uzima wangu Mwokozi

  2. Fumbo abudiwa nakuamini, kaza Yesu mpendwa yangu imani

  3. Mlo wa roho yangu hostia nzima, niwie ya mbingu kweli amana

  4. Ee Rabi mtu Mungu uniridhishie, njoo shuka kwangu kanishibishe

  5. Anakaribia mpenzi amini, hata kaingia mwangu moyoni.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page