Sacramenti Kubwa
- Anonymous
- Nov 2, 2023
- 1 min read
Updated: Feb 24, 2024
Sacramenti kubwa hiyo, twaheshimu kifudi, na sheria, ya zamani ikomeshwe na hiyo, yafichikayo machoni imani huyaona.
Mungu Baba, Mungu Mwana, asifiwe kwa shangwe, kwa heshima atukuzwe, pia aabudiwe; Mungu Roho Mtakatifu vile sifa apate. Amina.

Comments