top of page

Mkizipenda Sheria Zangu

Mkizipenda sheria zangu,(mimi) Nitawaombea kwa Baba yangu (na yeye)

Atamtuma Roho wa kweli (ndiye) atakaye wafariji mioyo.

1. Nyumbani mwa Baba kuna mengi, kwa kweli atawapa makao x2

2. Sitawaacha kama yatima, nitamtuma Roho wa kweli x2

3. Kwa kweli mkinipenda mimi, na Baba yangu atawapenda x2

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page