Ee Viumbe Karibuni
- Anonymous
- Oct 14, 2023
- 1 min read
Ee Viumbe karibuni, Mungu wenu kamsifuni Ndiyo sakramenti kuu, mwili damu ya Yesu x2
Ee Maria we utaanza, kumwimbia we wa kwanza
Nanyi wote malaika, wa Mbinguni mtaitika
Manabii na mababu, mwone jambo la ajabu
Nyie mitume na wenjili, tukuzeni fumbo hili
Mashahidi, waungana, jongeeni kutazama
Ninyi mabikira pia, sichokeni kumwimbia
Ee watakatifu wote, mwimbieni siku zote

Comments