Nimefufuka na Bado
- Anonymous
- Nov 18, 2023
- 1 min read
Nimefufuka na bado pamoja nawe, Aleluya wauweka mkono wako juu yangu
Ee Bwana mchungaji wangu, popote wanifahamu
Hakuna chochote kwangu, usikifahamu, Bwana
Hata nikiomo mbingu, pia niende kuzimu
Mtukufu Baba, mwana na roho mtakatifu.

Comments