Ikatetemeka Nchi Yote
- J.C Shomally
- Oct 21, 2023
- 1 min read
Updated: Oct 27, 2023
(Ikatetemeka nchi yote makaburi yakafunguka, (Giza) Giza likafunika nchi ikatetemeka ) x2 Na tazama akashuka Bwana, Mfalme wa Mbingu na dunia, Mwenye fimbo mkononi mwake, Ishara yake ni kuchunga kondoo (Chimbuko ni umoja, chimbuko ni upendo Matunda ni amani, ni amani) x2
Tumshanglie kuhani, Kristu Bwana Mwokozi wetu, Kashinda dhambi na mauti, tuimbe aleluya
Jiwe walilolikataa, waashi limekuwa, Limekuwa jiwe kuu, tena la pembeni
Ni ushindi kubwa mno, ushindi, ushindi wa pekee, tuimbe aleluya

Comments