Simama Nami
- F. Shimanyi
- Nov 20, 2023
- 1 min read
Updated: Dec 25, 2023
Uliamua kuniumba bila malipo hakuna wa kukupangia juu ya uhai wangu kwani
Ulipendezwa nizaliwe bila kujua jema wala baya na ukauficha hata mwisho wangu
Uliona ni vyema kila nilicho nacho nikiondoka nikiache hapa maana siyo changu
Yote hayo ni ili udhihirike kwetu ukuu wako Bwana uonekane daima popote

Comments