top of page

Ashukuriwe Mwenyezi

Updated: Apr 3, 2024


Kilindi cha Moyo wangu kimejaa maneno ya kushukuru Ashukuriwe mwenyezi anayeketi katika patakatifu Usiku mchana mwanzo wa mwaka mpaka mwisho wake Ni mungu aketiye juu anayenilinda Midomo yangu itaimba maneno ya kushukuru Asante nakushukuru Bwana wa mbingu


  1. Anayewalisha ndege wa angani ndiye anayeshusha neema (anashusha) Kwa viumbe vyote

  2. Jua na mwezi nazo nyota za angani ndiye aliziratibisha (akanipa) zawadi ya maisha

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page