top of page

Sina Budi

Updated: Jan 29, 2024

  1. Wakati wangu sasa umekwishafika wa kusema asante na kutangaza sifa zake Mungu Baba na maajabu yake

  2. Kwa nyimbo za furaha mimi nitaimba kwa nderemo na shangwe ninapiga makofi ngoma na kayamba filimbi na vinanda

  3. Leo ni siku njema siku ya baraka tumepokea neno tumelishwa kwa mwili Sisi tumeshimba umenyweshwa Kwa damu

  4. Onjeni wote Leo muone ya kwamba Bwana yetu yu mwema nimelionja pendo lake linasema bila kusitasita

  5. Kweli ni neno njema kumshukuru Bwana pia kumuimbia nitamsifu Bwana leo asubuhi mchana na usiku

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page