U Mwema Baba
- Anonymous
- Nov 29, 2023
- 1 min read
Updated: Dec 19, 2023
U mwema Baba umwema, u mwema Baba umwema x2
Ulifungua maji ya bahari ya shamu, wanao wakapita katika nchi kavu.
Ulivunja ukuta wa mji wa Yeriko, wanao waisraeli wakapata ushindi.
Ee Baba waokoa, ee baba unaponya, ni wewe wainua hakuna kama wewe.
Kwa kifo chake Yesu tumepata wokovu, kwa damu yake

Comments