Tunapaswa Kushukuru
- Angelo Kitosi
- Nov 20, 2023
- 1 min read
Updated: Dec 21, 2023
Utukufu na ukuu una yeye Mungu (daima) anayetupenda daima yeye Mungu (daima) anayetulinda siku zote yeye Mungu daima x2
Tumeamka vizuri tumeamka na afya njema- Tunapaswa kushukuru kwa Mungu wetu daima x2 Tumeamka wagonjwa tumeamka na changamoto-
Tumekula tumeshiba tumekunywa pia tumeshiba Mungu wetu atupenda Mungu wetu ni mwenye huruma-
Maisha yetu yote yapo mikononi mwake tumshukuru Anatulinda sote anatujalia nguvu tumshukuru Mungu
Utukufu (apewe Mungu milele) x4

Comments