top of page

Asubuhi Nitakuimbia

Ee Bwana nitakushukuru kwa moyo wangu wote x2


Asubuhi nitakuimbia kwa shangwe na vigelegele, nitacheza ngoma na kayamba, kinanda pia baragumu. Mchana nitarukaruka, usiku nitakusifu mimi nitasimulia, matendo yako makuu


Ee Bwana nitakuabudu kwa moyo wangu wote x2


Ee Bwana nitakutukuza kwa moyo wangu wote x2


Ee Bwana kwa upendo wako mimi nimeumbwa x2


Ee Bwana nitayatangaza matendo yako mema x2

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page