top of page

Bwana Ameitika

Updated: Dec 23, 2023



  1. Neema amenipa Baraka anashusha maombi na sala zangu zimemfikia na leo

  2. Mungu nilimuita usiku na mchana, kwa imani niliamini atajibu na leo

  3. Nilimpelekea malalamiko yangu masononeko yangu yamemfikia na leo

  4. Watu walinisema kwa maneno mabaya, nikamuomba Mungu awasamehe na leo

Sitaacha kumuita Bwana amesikia sauti sitachoka kumuomba Mungu ameyajibu maombi x2

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page