top of page

Niseme nini Ee Bwana

Updated: Apr 3, 2024


Niseme nini ee Bwana, nitamke maneno gani kinywani nikushukuru jinsi gani, nisimulie vipi mimi, mapito niliyopita kuja hapa nikutukuze vipi Mungu Niseme tu, Bwana Mungu wangu, asante nakushukuru narudia, Bwana Mungu wangu, asante nakushukuru

  1. Nakumbuka nilivyojaribu, sikujua kama utajibu nikapapasa mkono kizani, kulipokucha ni tunda mkononi

  2. Katikati ya safari maji yale yakamwagika chini lakini kwa wema wako, umeyazoa yakajaa upya

  3. Nilipigwa mawe nikaaibishwa sana tazama leo umeniona, ukamtukuza mtumishi wako

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page