top of page

Nitasimama Tena

Updated: Jan 29, 2024


Asante Mungu kwa siku mpya ya wiki mpya ya mwezi mpya wa mwaka mpya nimeiona shauku ya kuona siku nyingine mwezi mwaka mwingine nitasimama tena hapa nikushukuru Bwana nikushukuru

  1. Siku nyingine wiki nyingine mwezi mwengine mwaka mwingine mi na wengine neema nyingine ziko juu yetu

  2. Si nguvu zangu bali za Mungu sauti yangu juu ya mawingu mpaka kwa Mungu mi na wenzangu twatoa shukrani

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page