top of page

Nitamsifu Bwana wangu

Nitamsifu Bwana wangu mda ninaoishi ( nitamwimbia Mungu wangu (mimi), maana kusifu kwapendeza (kweli), kwani kusifu ni kuzuri (mimi), nitamwimbia Mungu nitamwimbia ningali hai ) x2

1. Msifuni Bwana, sifuni kutoka mbinguni msifuni katika mahali palipo juu.

2. Msifuni jua hata mwezi sifuni, msifuni na nyota zote nyota zenye mwanga.

3. Viumbe vyote msifuni Bwana Mungu kwa maana aliamuru navyo vikaumbwa.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page