top of page

Mziki Uliokamatana

Updated: Dec 21, 2023


Sifa kwa Mungu, alyeruhusu yafanyike haya Sifa kwa Bwana, aliyesema yafanyike haya Akatupa sauti aee tuimbe tumtukuze Na vipaji aee tuimbe tumsifu Sifa kwa Mungu aliyeruhusu yafanyike haya aaha

  1. Kaumba kinanda Mungu eehe Aha kayamba na ala zote ee ameumba yeye

  2. Watunzi wa nyimbo wote eehe Waimbaji sisi sote ee katuumba yeye

  3. Wapiga vinanda wote eehe Wapigao ngoma wote ee kawaumba yeye

HITIMISHO

Aee ehe, aeeh tuimbe (tumtukuze) * 4 Tumpigie muziki, uliopangwa na kukamatana Muziki mtakatifu, uliopangwa na kukamatana Kwa karama alizotujaza, uliopangwa na kukamatana Tumpigie muziki uliopangwa na kukamatana, kamatana, kamatana!


Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page