top of page

Kwa Wingi wa Fadhili Zako

Kwa wingi wa fadhili zako, kwa wingi wa rehema zako, nikushukuruje Bwana, nikushukuruje,mimi nikushukuruje Bwana wangu x2.


1. Nitaimba vipi mimi, wimbo gani niimbe, nimwimbie kwa furaha na shangwe kuu.

2. Siku zote ninawaza, kitugani nimpe, kwa maana kila kitu ni mali yake.


Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page