top of page

Taabu ya Mikono Yako

Updated: Dec 19, 2023

Taabu ya mikono yako hakika (utaila) taabu ya mikono yako hakika utaila x2.

Heri kila mtu amchaye Bwana (Mungu) aendaye katika njia yake Bwana (kweli) x2

  1. Heri yao wale wote wamchao Bwana (watakuwa wenye heri na Baraka x2) hakika

  2. Mkeo atakuwa kama mzabibu (uzaao vyumbani mwa nyumba yako x2) hakika

  3. Wanao kama miche ya mizeituni (wakiizunguka meza meza yako x2) hakika

  4. Tazama naye atabarikiwa hivyo (yule amchaye Bwana Bwana Mungu x2) hakika

  5. Bwana na akubariki toka sayuni (hata siku zote za maisha yako x2) hakika


Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page