Nitamhimidi Bwana
- Hymsco Library

- Nov 3, 2023
- 1 min read
Updated: Dec 22, 2023
Nitamhimidi Bwana, kila wakati sifa zake zi kinywani mwangu x2 (Katika Bwana) nafsi yangu, itajisifu kwa unyenyekevu wasikie wafurahi; mtukuzeni Bwana pamoja nami, tuliadhimishe jina lake pamoja x2
Nalimtafuta Bwana akanijibu, akaniponya na hofu zangu zote
Wakamwelekea wakati wa nuru, wala nyuso zao hazitaona haya
Maskini ali-ita Bwana akasikia, akamuokoa na taabu zake zote

Comments