Ee Bwana Tunakuomba
- Anonymous
- Oct 30, 2023
- 1 min read
Ee Bwana tunakuomba hiyo amani (leo) utujalie amani siku zote amani ya Bwana Yesu isambae pote amani ya Bwana Yesu iwe nasi sote.
Ee Bwana tunakuomba huo upendo (leo)
Ee Bwana tunakuomba hiyo faraja (leo)

Comments