Amani ya Bwana
- Hymsco Library

- Oct 30, 2023
- 1 min read
Sop: Amani ya Bwana naomba
All: Iwe pia nawe
Sop: Amani yake Bwana Yesu kweli
All: Iwe pia nawe
Amani ya Bwana Yesu isambae (moyoni)
Isambae pote, isambae.
Sop: Upendo….
Sop: Faraja…..
Sop: Furaha….
Sop: Umoja….
Sop: Baraka….

Comments