top of page

Mungu Wetu ni wa Amani

Mungu wetu ni wa Amani, Mungu wetu ni wa amani x3


Kanitoa chini kaniweka kati, Kanitoa chini kaniweka kati, Kanitoa kati kaniweka juu, Mungu wetu ni wa amani x2


Mungu wetu ni wa upendo…


Mungu wetu ni wa furaha…


Mungu wetu ni wa ajabu…

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page