Bwana Unifanye Niwe Chombo
- Anonymous
- Nov 18, 2023
- 1 min read
(Bwana) x2 unifanye niwe chombo kweli cha amani yako x2
Palipo na chuki nilete amani,
Palipo ugomvi nilete msamaha wako
Palipo na shida nilete tumaini,
Palipo na giza nilete mwangaza wako
Palipo uchungu nilete furaha, Bwana
nijalie niwe chombo cha kujaa

Comments