Amani yake Bwana
- Anonymous
- Oct 30, 2023
- 1 min read
Amani yake Bwana Yesu Kristu ninakupa amani yake Bwana Yesu Kristu pokea x2 Tutakiane mwenzangu hiyo amani ee, unisamehe kama nimekukosea x2
2. Upendo wake 3. Furaha yake 4. Faraja zake 5. Neema yake

Comments