top of page

Mpeni Kaisari yaliyo yake Mungu

Mpeni Kaisari yaliyo yake Kaisari

Mpeni Mungu yaliyo yake Mungu


Mpeni Mungu enyi viumbe vyake

Na mpe Bwana Mungu haki yake


Ulicho nacho waweza kumpa Bwana

Na mpe Bwana Mungu haki yake


Zawadi yako nenda ukampe Bwana

Na mpe Bwana Mungu haki yake


Anakulinda mchana na usiku

Na mpe nawe shukrani yako mpeni


Ametulinda kutokana na maovu

Na mpe nawe shukrani yako mpeni


Ni wengi sana hawakufanikiwa

Na mpe nawe shukrani yako mpeni


Kuwa na uhai ni dhamana ya Bwana

Na mpe Bwana Mungu haki yake mpeni


Ndipo we dada we ujifikirie

Na mpe nawe shukrani yako mpeni


Na sisi wote tumkumbuke Bwana

Na tumpe nasi shukrani mpeni

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page