Zawadi Zetu
- Anonymous
- Oct 30, 2023
- 1 min read
Tunakuja mbele zako – na zawadi zetu (sote) tunaleta kwako Baba – kama shukurani X2
1. Na mazao ya mashamba tunaleta kwako (Baba) Tunakupa ni mavuno tuliyo yapata.
2. Fedha zetu tunakupa mapato ya kazi (zetu) Zawadi ya wiki nzima zitakase pia X2
3. Nafsi zetu mali yako Baba twazileta (kwako)Na mkate, na divai vyote mali yako X2

Comments