Ee Baba Pokea Sadaka Yetu
- Anonymous
- Oct 28, 2023
- 1 min read
Ee Baba pokea sadaka yetu tunakutolea, hiyo ni kazi ya mikono yetu wanadamu x 2
Twakuomba Uipokee (pokea) Ee Bwana Uibariki (bariki) Bwana Sadaka yetu tunakutolea
Mkate pia divai tunakutolea, uipokee utakase na ubariki
Nyoyo zetu tunakupa vyote mali yako, na fedha zetu twaleta Baba zipokee
Na mazao ya mashamba Baba upokee, na zawadi kwa mavuno ya mikono yetu

Comments