top of page

Twende sote

Updated: Dec 30, 2023


  1. Twende sote tupeleke zawadi zetu, ni vipaji ambavyo Bwana katujalia x2

  2. Mkate na divai twaja navyo Bwana, ni kiini cha ngano na tunda la mzabibu

  3. Fedha toka mifuko twaja nazo Bwana, ni vipaji tulopta kwa jasho letu x2

  4. Nafaka na mifugo twaja nazo Bwana, ni mazao ya mashamba ulotujalia x2

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page