Viuzeni Mlivyo Navyo
- Anonymous
- Oct 30, 2023
- 1 min read
Viuzeni mlivyo navyo mkavitoe sadaka, kwa kuwa mnajiwekea hazina
yenu mbinguni (ndugu) kwa kuwa mnajiwekea mbinguni.
Rudisheni kwake Bwana ni mali yake viuzeni.
Onyesheni moyo safi kwa ukarimu viuzeni.
Msidhani mwapoteza mlivyo navyo viuzeni.

Comments