top of page

Ee Baba Twaleta Zawadi

Ee Baba twaleta zawadi zetu, Ee Baba twaomba uzipokee x 2

Japo ni kidogo sana ewe Baba, twakusihi sana Baba uzipokee.

  1. Mkate na divai ewe Bwana twaomba uzipokee.

  2. Mazao ya mashamba ewe Bwana twaomba uvipokee.

  3. Twaleta fedha zetu ewe Bwana twaomba uzipokee.

  4. Na pia nafsi zetu ewe Bwana twaomba uzipokee.

  5. Mawazo na matendo yetu Bwana ewe Bwana twaomba uzipokee.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page