Altare Twendeni
- Hymsco Library

- Oct 15, 2023
- 1 min read
Altare altare (altare twendeni) x2 Altare yake Mungu Baba twende x2
Altare yake Mungu Baba njoo twendeni Tumealikwa leo Tumsifu Mungu Baba wetu wa milele Ni muumba wetu asifiwe
Mwili wako na damu yako ni chakula cha roho Uzima wangu raha yangu Asante Mungu wetu Baba umetuchagua Ili tuwe wako hadi mwisho

Comments