top of page

Amepaa Bwana

Amepaa Bwana Yesu, amepaa juu mbinguni amepewa mamlaka yote Aleluya

  1. Nendeni mkawafanye mataifa yote, (wawe wafuasi wangu Aleluya x2.)

  2. Muwabatizeni kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu Aleluya.

  3. Na muwafundishe kushika neno langu mimi, nilivyo wafundisha Aleluya.

  4. Nami nipo pamoja nanyi, nanyi siku zote mpaka mwisho milele Aleluya

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page