top of page

Amka Kinanda

Updated: Oct 10, 2023


Ee Mungu Mungu wangu (moyo) Moyo wangu u thabiti (thabiti) Nitaimba nitaimba, nitaimba zaburi (Amka kinanda ewe kinanda - amka ewe kinanda, Amka kinubi ewe kinubi

Amka ewe kinubi, Nitaamka alfajiri nitamuimbia Bwana) x2


1. Ee Mungu nitakushukuru kati ya watu, Nitakuimbia zaburi kati ya mataifa


2. Kwa maana fadhili zako ni za milele, Na uaminifu wako hata juu mawinguni


3. Ee Mungu utukuzwe juu ya mbingu yote, Na juu ya nchi yote uwe utukufu wako



Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page