top of page

Anakuja Masiya



Anakuja Masiya x2, anakuja Bwana Mfalme kutuokoa

  1. I-tengenezeni njia yake, yatayarisheni mapito yake anakuja Masiya

  2. Mabonde yote na-ya-fu-ki-we, na vilima vyote visambazwe anakuja Masiya

  3. Na mioyo yote itakaswe, na watu wote wawe tayari anakuja Masiya

  4. Dunia itaona salama, watu watakuwa na amani anakuja Masiya

  5. Watu watauona wokovu, wokovu utokao kwa Bwana anakuja Masiya.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page