top of page

Anapamba Mass

Updated: Dec 21, 2023

Tuhurumie ee x 2 Bwana Bwana Bwana Yesu tuhurumie x 2

Kristu tuhurumie ee x 2 Kristu Kristu Kristu Yesu tuhurumie x 2

Tuhurumie ee x 2 Bwana Bwana Bwana Yesu tuhurumie x 2


UTUKUFU

Utukufu kwa Mungu mbinguni na amani ulimwenguni kwa watu wenye mapenzi mema wenye mapenzi mema x2

  1. Tunakusifu twakuheshimu twakuabudu tunakutukuza x 2

  2. Twakushukuru mfalme wa mbingu mwana wa pekee mwana wake Baba x2

  3. Unayeondoa makosa yetu tuhurumie utusikilize x2

  4. Kuume kwa Baba unapoketi mtakatifu utuhurumie x2

  5. Pamoja na roho mtakatifu ndani ya Baba unakotukuzwa x2

  6. Mungu mmoja anayeishi na kutawala milele amina x2

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page