top of page

Angelo Mass



BWANA UTUHURUMIE

Sop: Bwana, Ee Bwana, Bwana utuhurumie x2

Alt: Bwana Ee Bwana Bwana Bwana ee Bwana utuhurumie x2

Ten: Bwana, Bwana, Bwana, Bwana utuhurumie x2

Bass: Bwana, Ee Bwana, Ee Bwana Bwana tuhurumie x2.


Sop: Kristu,Kristu, Kristu tuhurumie x2

Alt: Kristu Ee Kristu, Kristu, Ee Kristu Kristu tuhurumie x2

Ten: Kristu, Kristu, Ee Kristu tuhurumie x2

Bass: Kristu, Ee Kristu Kristu, Ee Kristu Kristu tuhurumie x2.


Sop: Bwana, Ee Bwana, Bwana utuhurumie x2

Alt: Bwana Ee Bwana Bwana Bwana ee Bwana utuhurumie x2

Ten: Bwana, Bwana, Bwana, Bwana utuhurumie x2

Bass: Bwana, Ee Bwana, Ee Bwana Bwana tuhurumie x2.


UTUKUFU

Sop/Ten: Utukufu juu kwa Mungu na amani duniani kwao watu wenye mapenzi, watu wenye mapenzi mema x2

Alt/Bass: Utukufu juu kwa Mungu, utukufu na amani na amani duniani duniani, kwao watu wa mapenzi kwao watu, watu wenye watu wa mapenzi mema x2

  1. T/B: Tunakusifu, tunakuheshimu, twakuabudu, tunakutukuza, twakushukuru Mungu kwa ajili ya utukufu wako mkuu.

  2. S/A: Ee Bwana Mungu Mfalme wa mbinguni, Baba mwenyexi muumba wa vyote, Ee Bwana Yesu Mwana wa pekee, Mwanakondoo, Mwana wake Baba.

  3. T/B: Uondaye dhambi za dunia, tuhurumie, utuhurumie, uondoaye dhambi za dunia ulipokee hili ombi letu

  4. S/A: Unayeketi kuume kwa Baba, tuhurumie, utuhurumie, kwa kuwa wewe ndiwe peke yako, Mtakatifu peke yako Bwana.

  5. Unis: Pekee yako mkuu Yesu Kristu pamoja naye Roho Mtakatifu, kwa utukufu wake Mungu Baba, milele yote, amina, amina.


MTAKATIFU

Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu Bwana Mungu wa majeshi x2.

Mbingu na dunia zimejaa uttkufu (wako) zimejaa utukufu wako mkuu x2


S/B: Hosana hosana hosana, hosana juu mbinguni x2

A/T: Hosana, hosana, hosana, hosana, hosana, hosana juu mbinguni x2


TUTT: Mbarikiwa anayekuja anayekuja kwa jina la Bwana x2


S/B: Hosana hosana hosana, hosana juu mbinguni x2

A/T: Hosana, hosana, hosana, hosana, hosana, hosana juu mbinguni x2


MWANAKONDOO

S/B: Mwanakondoo wa Mungu uondoaye dhambi za dunia utuhurumie x3

A/T: Mwana,Kondoo,wake,Mungu,Mwana,Kondoo,wake,Mungu uondoaye dhambi za dunia utuhurumie x3

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page