top of page

Asante Baba

1. Umetulisha kwa Mwili wako (Bwana) twashukuru.x2

Asante Baba kwa mema yote uliyotujalia.x2

2. Umetunywesha kwa Damu yako (Bwana) twashukuru.x2

3.Umetulinda kwa wiki nzima (Bwana) twashukuru.x2

4. Umetukinga kwa ajali zote (Bwana) twashukuru.x2

5. Asante Baba kwa mema yote (Bwana) twashukuru.x2

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page