top of page

Asante Bwana Yesu

Asante Bwana Yesu, kwa mema yako (yote) (x2) ulitoyujalia, Asante, kwa mema yako (yote) (x2), uliyotujalia.

  1. Umetulisha umetunywesha, twashukuru,

  2. Mema ya mbingu tumeyapata, twashukuru,

  3. Mwana wa Mungu u kati yetu, twashukuru,

  4. Kwa vitu vyote ulivyotupa, twashukuru,

  5. Msamaha wako umetujia, twashukuru,

  6. Asante sana kwa mema yote, twashukuru,

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page