top of page

Aulaye Mwili Wangu

Updated: Nov 20, 2023



Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu (asema Bwana) hukaa ndani yangu nami hukaa ndani yake.


Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu ana uzima wa milele.


Njooni enyi wenye njaa, njooni enyi wenye kiu njooni kwangu niwashibishe.


Aniaminiye mimi na kuyashika niyasemayo nitamfufua siku ya mwisho


Mlapo chakula hiki, mnywapo kinywai hiki mwatangaza kifo changu.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page