Baba Pokea Leo
- Victor Mwadime (G- Clef)
- Oct 28, 2023
- 1 min read
Updated: Nov 22, 2023
Baba pokea leo sadaka yetu, japo kidogo Baba uipokee x 2
Twakutolea Baba sadaka yetu leo ikupendeze Baba na uibariki x2
1. Mkate na divai tunakutolea, ni kazi ya mikono twaomba pokea
2. Mazao ya mashamba tunakutolea, japo kidogo Baba twaomba pokea.
3. Maombi yetu pia tunakutolea, uyatakase tena twaomba pokea.
4. Na nafasi zetu pia tunakutolea, kwa wema wako Baba twaomba pokea.

Comments