Baba Twaja Mbele Yako
- Anonymous
- Oct 28, 2023
- 1 min read
Ewe Mungu Baba twaja mbele yako-kwa huruma na upole, tukinyenyekea Mungu (Baba) tupokee.tukijuta dhambi Mungu Baba tupokee. x2
1. Tuna imani utasikiza maombi yetu Baba Baba Mungu Baba tupokee.
2. Na nyimbo zetu zitukuzwe kwa kuabudu…
3. Mioyo yetu na ikusifu wewe ni Bwana

Comments