top of page

Baba Yetu

Baba yetu uliye mbinguni, jina lako litukuzwe, ufalme wako utufikie, utakalo lifanyike.

1. Duniani kama mbingni ee Baba- Utakalo lifanyike

Utupe leo mkate wa kila siku

2. Utusamehe makosa yetu ee Baba / Kama tunavyo wasamehe wenzetu

3. Usituitie vishawishini ee Baba / Utuopoe maovuni Amina

4. Kwani ufalme ni wako ee Baba/ Sifa na nguvu na utukufu Amina

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page