Baragumu la Mariamu
- Benard Mukasa
- Nov 1, 2023
- 1 min read
Updated: Dec 23, 2023
Nawakaribisha viumbe wa dunia tumuimbie x2
Mnaokubali kwamba Yesu ni Bwana Mungu wenu x2
Alibadilisha nepi Bwana wetu Mwokozi wetu x2
Tumpigie ngoma vinanda na baragumu Mama Maria (salamu) Mama wa Yesu (Maria) x4 kwa kinanda cha nyuzi kumi sherehekea
Ulimwengu ungeijua siri hii na tungepona x2
Tumpigie ngoma vinanda na baragumu Mama Maria (salamu) Mama wa Yesu (Maria) x4 Kwa filimbi na kwa zumari, changamka.

Comments