top of page

Basi Mpeni Kaisari

Updated: Dec 23, 2023

Basi mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari x2

Na Mungu mpeni yaliyo yake Mungu x2

  1. Ndipo mafarisayo wakaenda zao wakafanya shauri, jinsi ya kumtega kwa maneno, wakatuma kwake wanafunzi wao, pamoja na maherode wakasema- Basi utuambie, waonaje? Ni halali kumpa Kaisari kodi, ama sivyo?Lakini Yesu aliufahamu uovu wao, akasema

  2. Mbona mnanijaribu enyi wanafiki? Nionyesheni fedha ya kodi nao wakamletea dinari, akawauliza ni ya nani sanamu hii na anuani hii? wakamwambia ni ya Kaisari, akawambia

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page